STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
Mwalimu atumie maswali na majibu na majadiliano kuibua mikatadha inayodai maneno mapya. |
maswali na majibu na majadiliano kuibua mikatadha inayodai maneno mapya. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
Ongoza Wanafunzi wafanye majadiliano ya vikundi na kueleza mazingira yanayodai maneno mapya |
Wanafunzi wafanye majadiliano ya vikundi na kueleza mazingira yanayodai maneno mapya |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
Andika maneno mapya hili wanafunzi watunge sentensi |
Wanafunzi watunze sentensi kwa kutumia maneno mapya |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
Andika maneno mapya hili wanafunzi watunge sentensi |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |